Home LOCAL TMDA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA

TMDA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Bw. Adam Fimbo akizungumza kwenye ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wahariri wa Vyombo vya habari na waandishi wa habari wa mikoa ya Kilimanjaro,Manyara na Arusha kinachofanyika kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) jijini Arusha leo Jumatano Juni 2,2021.

Vones Uiso Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye alimuakilisha Mkuu wa mkoa wa Arusha akizungumza wakati akifunga Kikao Kazi cha Wahariri wa Vyombo vya Habari na waandishi wa habari wa mikoa ya Arusha , Kilimanjaro,na Manyara kinachofanyika kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) jijini Arusha leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Bw. Adam Fimbo akizungumza jambo na mgeni rasmi Vones Uiso Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha katikati ni Gaudensia Simwanza, Meneja mawasiliano na elimu kwa umma kutoka mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA).

Dk. Yonah Hebron Mwalwisi Kaimu Mkurugenzi Udhibiti wa Dawa na Vifaa Tiba (TMAD) akiwasilisha mada kuhusu madhara ya utumiaji wa Tumbaku katika kikao kazi cga wahariri wa vyombo vya habari na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) jijiniArusha leo.

Dk. Yonah Hebron Mwalwisi Kaimu Mkurugenzi Udhibiti wa Dawa na Vifaa Tiba (TMAD) akifafanua jambo wakati akiwasilisha mada kuhusu madhara ya utumiaji wa Tumbaku katika kikao kazi cga wahariri wa vyombo vya habari na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) jijiniArusha leo.


Martha Malle Mwanasheria Mwandamizi Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) akiwasilisha mada kuhusu masuala ya sheria mbalimbali zinazounda (TMDA)na namna zinavyofanya kazi.

Mkurugenzi wa Huduma za Maabara Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Bw. Danstan Hipolite akiwasilisha mada kuhusu Kurugenzi ya Maabara katika mamlaka hiyo.
Kulia ni Roberta Feruzi Afisa Mwandamizi Elimu Kwa Umma na James Ndege Afisa Mwandamizi Elimu kwa Umma wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika na wataalam katika kikaokazi hicho.


Picha za mbalimbali za pamoja na mgeni rasmi na washiriki wa kikaokazi hicho.Picha mbalimbali zikionesha washiriki mbalimbali wakiwa katika kikao kazi hicho kinachofanyika kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) jijini Arusha.

Previous articleWAZALISHAJI WA CHAKULA WAMETAKIWA KUZINGATIA USALAMA WA CHAKULA KATIKA UTAYARISHAJI.
Next articleRAIS SAMIA AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA IKULU CHAMWINO DODOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here