TANZIA: T.B JOSHUA AFARIKI DUNIA.
LAGOSMuhubiri wa Kimataifa kutoka Nigeria, TB Joshua amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jijini Lagos.Taarifa zinasema T.B Joshua amefariki saa chache baada ya kumaliza huduma katika Kanisa lake Jijini humo.TB Joshua ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na mmiliki wa Kituo cha Luninga cha Emmanuel TV.
JAMII JENGENI TABIA YA KUTUNZA MAZINGIRA KWA KUFANYA USIFI KILA SIKU: RC MONGERA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela akizungumza katika maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika katika halmashauri ya Meru.Wanafunzi kitoka shule mbalimbali wakionesha mabango mbalimbali yenye jumbe za uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira katika kilele cha siku ya mazingira duniani yaliyofanyika halmashauri ya Meru.NA: NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela ameitaka jamii kujenga tabia ya...
DIWANI MALISA AOMBA ENEO LA HALI YA HEWA KUJENGA SHULE NA ZAHANATI
Meya wa Halmashauri ya. jiji la Dar es Salaam Omary Kumbilamoto akizungumza na wakazi wa Kata ya Minazi mirefu katika mkutano wa wananchi ulioandaliwa n Diwani wa Kata hiyo Godlisa Malisa Jana (PICHA na HERI SHAABAN)Wananchi wa Minazi mirefu wakimsikiliza diwani Malisa katika mkutano wake wa kwanza wa hadhara Dar es Salaam Jana (PICHA NA HERI SHAABAN)NA: HERI SHAABAN.DIWANI...
KUTOKA BUNGENI JIJINI DODOMA MHE, EDWIN SWALLE ASIMAMA NA WANANCHI WA LUPEMBE, ASHAURI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME VIJIJINI,
Na:Maiko Luoga. “Asante sana Mhe, Spika kwa kunipa nafasi nami niweze kuchangia Wizara hii muhimu ya nishati, Mhe, Spika kwanza niungane na Wabunge wenzangu kutoa pongezi nyingi sana kwa Mhe, Waziri, Naibu Waziri wake na timu nzima ya Wizara hii kwa kazi njema wanayoifanya”“Hata mimi ni shuhuda ambae nimekuwa nikiongea na Mhe, Waziri na Naibu Waziri wamekuwa wasikivu sana, Mhe,...
SERIKALI YATOA MSIMAMO WA CHANJO NCHINI
Msemaji wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Melezo Gerson Msigwa wakati akizungumza na waandishi wa habari leo June 5,2021 jijini Dodoma kuhusiana na masuala mbalimbali ya Nchi. DODOM. SERIKALI inaendelea kuwahimiza Watanzania wote kuendelea kuchapa kazi za uzalishaji mali kwa juhudi na maarifa huku wakichukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona, zikiwemo...
UN KUSAIDIA UTEKELEZAJI MKAKATI WA UTUNZAJI MAZINGIRA NCHINI
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Zlatan Milizic, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo June 5,2021 jijini Dodoma.Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Zlatan Milizic,akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la UN katika maonyesho ya kilele cha...