Home LOCAL UN KUSAIDIA UTEKELEZAJI MKAKATI WA UTUNZAJI MAZINGIRA NCHINI

UN KUSAIDIA UTEKELEZAJI MKAKATI WA UTUNZAJI MAZINGIRA NCHINI

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Zlatan Milizic, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo June 5,2021 jijini Dodoma.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Zlatan Milizic,akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la UN katika maonyesho ya kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo June 5,2021 jijini Dodoma.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira, (UNEP) Clara Makenya,akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo June 5,2021 jijini Dodoma.

Previous articleDKT. KABATI AIPA SERIKALI MKAKATI WA KUBORESHA SEKTA YA UTALII NA MALIASILI NCHIHI.
Next articleSERIKALI YATOA MSIMAMO WA CHANJO NCHINI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here