Home LOCAL TANZIA: T.B JOSHUA AFARIKI DUNIA.

TANZIA: T.B JOSHUA AFARIKI DUNIA.

 

LAGOS

Muhubiri wa Kimataifa kutoka Nigeria, TB Joshua amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jijini Lagos.

Taarifa zinasema  T.B Joshua amefariki  saa chache  baada ya kumaliza huduma  katika Kanisa lake Jijini humo.

TB Joshua ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na mmiliki wa Kituo cha Luninga  cha Emmanuel TV.

Previous articleJAMII JENGENI TABIA YA KUTUNZA MAZINGIRA KWA KUFANYA USIFI KILA SIKU: RC MONGERA
Next articleKOROSHO ZA MTWARA, LINDI NA RUVUMA KUSAFIRISHWA KUPITIA BANDARI YA MTWARA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here