STAMICO KUZINDUA MATUMIZI MKAA MBADALA WA KUPIKIA IKIADHIMISHA MIAKA 50 YA SHIRIKA HILO

0

Waziri wa Madini Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi kutoka shirika la Madini la Taifa STAMICO Pili Athumani alipotembelea kiwanda chakuzalisha mkaa mbadala kinachomilikiwa na Shirika hilo kilichopo jijini Dae es Salaam. waziri wa Madini Doto Biteko akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Dkt. Venance Mwasse (kulia), wakati wa ziara ya waziri kutembelea kiwanda chakuzalisha...

SERIKALI YA OMAN YAVUTIWA KUWEKEZA TANZANIA

0

  Home Biashara Burudani Magazeti Mchanganyiko Michezo Siasa Teknolojia TV Makala   Na: Mwandishi wetu SERIKALI ya Oman imevutiwa kuwekeza katika madini ya viwandani na madini ya ujenzi nchini.   Kauli hiyo, ameitoa Balozi wa Oman nchini Tanzania Said All-Shidham baada ya kukutana na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko katika Ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.   Balozi Shidham amesema nchi ya Oman...

MZUMBE WAJA NA MWAROBAINI WA NDOA ZA UTOTONI

0

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. William Mwegoha (Katikati), akizindua mwongozo wa mafunzo kwa wakufunzi wa madhara ya kiafya yatokanayo na ndoa za utotoni, wakati wa warsha ya wadau kujadili matokeo ya utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Antwerp Ubelgiji. Kushoto ni Prof. Wouter Vandenhole, Kaimu Mtiva wa Kitivo cha Sheria na Maendeleo...

ZIARA YA KATIBU MKUU CCM CHONGOLO WILAYANI LUSHOTO

0

  Home Biashara Burudani Magazeti Mchanganyiko Michezo Siasa Teknolojia TV Makala Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akionesha Jambo Kwenye mchoro wa jengo la halmashauri ya Bumbuli wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kukagua Uhai wa Chama na kukagua, kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa wa Ilani...

WAJASIRIAMALI WAIPONGEZA SIDO KUWAWEZESHA KUSHIRIKI MAONESHO YA NANENANE 2022

0

  Maonesho ya Nanenane Kitaifa yamemalizika rasmi leo Agosti 8,2022 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo Shirika la Kuhudumia viwanda Vidogo nchini (SIDO) wameshiriki kwenye Maonesho hayo wakiwa na wajasiriamali zaidi ya 50 waliofika kuonesha na kuuza bihaa zao mbalimbali zikiwemo za Teknolojia. TAZAMA VIDEO HAPA.