Home LOCAL ZIARA YA KATIBU MKUU CCM CHONGOLO WILAYANI LUSHOTO

ZIARA YA KATIBU MKUU CCM CHONGOLO WILAYANI LUSHOTO

 

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akionesha Jambo Kwenye mchoro wa jengo la halmashauri ya Bumbuli wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kukagua Uhai wa Chama na kukagua, kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025 . 
 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo ya mchoro wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli kutoka kwa Msanifu wa Majengo Yassin Mringo. 
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na wanachama na wakazi wa shina namba 3 tawi la Ubiri, Lushoto mkoani Tanga.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia  wanachama na wakazi wa shina namba 3 tawi la Ubiri, Lushoto mkoani Tanga ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama na Kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya  mwaka 2020-2025

 

Previous articleWAJASIRIAMALI WAIPONGEZA SIDO KUWAWEZESHA KUSHIRIKI MAONESHO YA NANENANE 2022
Next articleMZUMBE WAJA NA MWAROBAINI WA NDOA ZA UTOTONI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here