Home BUSINESS WAJASIRIAMALI WAIPONGEZA SIDO KUWAWEZESHA KUSHIRIKI MAONESHO YA NANENANE 2022

WAJASIRIAMALI WAIPONGEZA SIDO KUWAWEZESHA KUSHIRIKI MAONESHO YA NANENANE 2022

 

Maonesho ya Nanenane Kitaifa yamemalizika rasmi leo Agosti 8,2022 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo Shirika la Kuhudumia viwanda Vidogo nchini (SIDO) wameshiriki kwenye Maonesho hayo wakiwa na wajasiriamali zaidi ya 50 waliofika kuonesha na kuuza bihaa zao mbalimbali zikiwemo za Teknolojia.
TAZAMA VIDEO HAPA.

 

Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 10 -2022
Next articleZIARA YA KATIBU MKUU CCM CHONGOLO WILAYANI LUSHOTO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here