YANGA YAITUNGUA COAST UNION 2 -0
KLABU yaYanga imeendelea kutoa dozi kwenye ligi ya NBC mara baada ya hii leo kuichapa timu ya Coastal Union kwa mabao 2-0 mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Shekhe Amri Abeid Jijini Arusha. Ni Mayele tena ambaye aliingia kipindi cha pili na kupachika bao la pili kwenye mchezo huo akipoke pasi ya kichwa kutoka kwa mkongo beki kisiki mwenzake...
WATENDAJI WAHIMIZWA KUONGEZA KASI UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFDP
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akizungumza na watendaji wa shirika la uvuvi Tanzania (TAFICO) alipotembelea kupokea taarifa ya mradi wa kuendeleza kilimo na uvuvi (AFDP). Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George...
SHAKA ASHAURI TARURA KUVUNJA MIKATABA YA WAKANDARASI WABABAISHAJI, AKERWA NA UCHELEWESHAJI MIRADI YA BARABARA UYUI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akizungumza na mbele ya akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa kata ya Igulungu, Jimbo la Tabora Kaskazini baada ya kukagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari Gilimba katika Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora ambayo ipo katika hatua ya ukamilishaji,pichani kulia ni...
MAAFISA BIASHARA TEKELEZENI MAJUKUMU YENU KIKAMILIFU
Mkuu wa wilaya ya Tanga, Mhe. Hashim Mgandilwa amewataka Maafisa Biashara kutumia mafunzo waliyopatiwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa kuwawezesha wafanyabiashara kukua. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo juu ya Sheria ya Leseni za Biashara yaliyofanyika Jijini Taga, Mhe. Mgandilwa amesema, Maafisa Biashara mara nyingi wamekua wakisahau kabisa kazi zao...
WATENDAJI WA SENSA WATAKIWA KUFANYAKAZI KWA BIDII
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Prof.Riziki Shemdoe kabla ya kikao. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu akizungumza jambo kabla ya kikao na Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt, Alibina Chuwa. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu...
RC SHIGELLA AKABIDHIWA RASMI OFISI NA ALIYEKUWA RC WA GEITA ROSEMARY SENYAMULE
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe, Rosemary Senyamule ambae sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Dododoma Katibu tawala wa Mkoa wa Geita prof. Godius Kahyarara Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe, Martin Shigella Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe, Martin Shigella na Mkuu wa Mkoa wa Dododoma wakati wa makabidhiano ya ofisi Na. Costantine James, GEITA Mkuu wa Mkoa wa Geita...