Home SPORTS YANGA YAITUNGUA COAST UNION 2 -0

YANGA YAITUNGUA COAST UNION 2 -0

KLABU yaYanga imeendelea kutoa dozi kwenye ligi ya NBC mara baada ya hii leo kuichapa timu ya Coastal Union kwa mabao 2-0 mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Shekhe Amri Abeid Jijini Arusha.
 
Ni Mayele tena ambaye aliingia kipindi cha pili na kupachika bao la pili kwenye mchezo huo akipoke pasi ya kichwa kutoka kwa mkongo beki kisiki mwenzake Shaban Djuma na kuzamisha moja kwa moja nyavuni.
 
Bao la kwanza la Yanga lilifungwa na Benard Morrison kipindi cha kwanza akipokea pasi kutoka Jesus Moloko ambaye pia aliumia kwenye mchezo huo na kulazimishwa kutoka baada ya kuchezew rafu mbaya na mlinzi wa Coasta Union
Previous articleWATENDAJI WAHIMIZWA KUONGEZA KASI UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFDP
Next articleBALOZI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA JAJI WA ICJ
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here