PROFESA MDOE AWAKARIBISHA WATANZANIA KUJIFUNZA MBINU BORA ZA KILIMO BANDA LA TARI DODOMA.
DODOMA.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. James E Mdoe, amewataka wananchi jijini Dodoma kuendelea kutembelea banda la Taasisi ya Utafiti...
BRELA YAWATAKA WABUNIFU KUSAJILI VUMBUZI ZAO.
Afisa Mwandamizi- Utumishi na Utawala kutoka Idara ya Miliki Ubunifu BRELA, Bw Raphael Mtalima akifafanua juu ya sifa za Uvumbuzi unaoweza kusajiliwa kama Hataza...
MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA WA TABORA WAZINDULIWA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe pamoja na viongozi alioambata nao wakionesha kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji...
KUANZISHWA KWA KIWANDA CHA KUSAFISHA MADINI CHA GGR KUCHANGAMSHA UCHUMI WA GEITA-WAZIRI BITEKO
Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha GGR...
FIDIA UWANJA WA NDEGE MSALATO NA BARABARA YA MZUNGUKO KULIPWA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi, Dkt. Leonard Chamuriho, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, mara baada...
RAIS MHE.SAMIA SULUHU AMKABIDHI NYUMBA MPYA YA KUISHI RAIS MSTAAFU DKT.JAKAYA KIKWETE KWA MUJIBU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya ...