Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU AMKABIDHI NYUMBA MPYA YA KUISHI RAIS MSTAAFU DKT.JAKAYA KIKWETE...

RAIS MHE.SAMIA SULUHU AMKABIDHI NYUMBA MPYA YA KUISHI RAIS MSTAAFU DKT.JAKAYA KIKWETE KWA MUJIBU WA SHERIA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria leo tarehe 09 Mei, 2021.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. PICHA NA IKULU

Previous articleMKURUGENZI TAMWA ZANZIBAR YATAKA KUTAZAMWA HALI YA USAWA WA KIJINSIA KWA WANAHABARI VISIWANI
Next articleFIDIA UWANJA WA NDEGE MSALATO NA BARABARA YA MZUNGUKO KULIPWA HIVI KARIBUNI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here