RC MAKALLA: WANAOPANGISHA MAGOMENI KOTA NI MATAPELI.
- Asema Serikali inawatambua Kaya 644 zilizokuwepo awali.NA: James Lyatuu, DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezihakikishia Kaya...
RC MAKALA AWATAKA WANANCHI WAJIEPUSHE NA MATAPELI MAGOMENI KOTA
NA: HERI SHAABANMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam amewataka wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam , kujiepusha na matapeli katika mradi wa...
SIMBA NA COASTAL HAKUNA MBABE
Mwandishi wetu,Arusha.MABINGWA wa ligi kuu Tanzania bara leo wametoka sare ya bila kufungana katika mechi ya kirafiki dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliochezwa ...
BENKI YA MWANGA HAKIKA LTD KUFANYA MKUTANO WAKE WA KWANZA WA WANAHISA SEPTEMBA18,2021
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Mwanga Hakika Microfinance Limited Projest Massawe (katikati) akiwa na Katibu wa Benki hiyo Nancy Kissanga (Kushoto)...
DJUMA SHABAN, AUCHO NA FISTON KUIKOSA RIVERS UTD.
Stella Kessy,Dar es Salaam.UONGOZI wa Yanga umethibitisha kuwakosa wachezaji wake watatu kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United utakaopigwa Septemba12...
KIKOSI CHA SIMBA SASA KAMILI, WACHEZAJI WOTE KUREJEA KAMBINI LEO.
Na: Stella Kessy. WACHEZAJI wote walikuwa katika timu mbalimbali za taifa wanatarajia kuanza kurejea nchini na kuingia kambini. kwa mujibu wa Kaimu Mkuu wa...