MARAGASHIMBA AJENGA OFISI YA SERIKALI YA MTAA
NA: HERI SHAABAN (ILALA)MWENYEKITI wa Mtaa wa AMANI Kipunguni Wilayani Ilala DANIEL MALAGASHIMBA aamejenga Ofisi ya Serikali ya Mitaa kwa fedha zake.MALAGASHIMBA alisema ujenzi...
WAZIRI MULAMULA AITAKA STAMICO KUUTANGAZA MKAA MBADALA WA MAKAA YA MAWE.
WAZIRI wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki liberata Mulamula (wa kwanza kulia) Akitia saini kitabu cha wageni katika la STAMICO alipofika kwenye...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA KUSIMIKWA ASKOFU SIMONI...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Askofu Simon Chibuga Masondole kwa kupewa daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki...
NAIBU KATIBU MKUU NISHATI, VIWANDA WATEMBELEA BANDA LA PURA MAONESHO YA...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti...
MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA TMDA YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA
Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA Bi. Gaudensi Simwanza akizungumza na Bw. Krishna Mmoja wa wananchi waliotembelea...