Home LOCAL MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA TMDA YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA

MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA TMDA YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA

Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA Bi. Gaudensi Simwanza akizungumza na Bw. Krishna Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo katikati ni Modesta Simwanza.

Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA Bi. Gaudensi Simwanza akizungumza na Bw. Krishna Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo katikati ni Modesta Simwanza

Edward Bora Afisa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA na Sigfid Mtei Afisa Habari na Mawasiliano kwa Umma wakiwa pamoja na mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo.

Edward Bora Afisa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA akiwapa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda hilo.

Edward Bora Afisa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo.


Previous articleMTAALAM WA TIBA MAMA BANGOI AWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA KUONA BIDHAA ZAKE MAONESHO YA SABASABA
Next articleNAIBU KATIBU MKUU NISHATI, VIWANDA WATEMBELEA BANDA LA PURA MAONESHO YA SABA SABA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here