Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi, Dkt. Leonard Chamuriho, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, mara baada ya kufanya ziara ya kukagua ujenzi wa barabara ya mzunguko ya jiji la Dodoma...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo...
Na: Muhammed Khamis TAMWA ZNZ.Wakati Dunia na Tanzania kwa ujumla ikiwa bado katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari Mkuruenzi wa TAMWA-Zanzibar Dkt,Mzuri Issa amesema maadhimisho hayo yanapaswa pia kutazamwa hali ya usawa wa kijinsia kwa wanahabari visiwani...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamriho akikata utepe pamoja na Dk. Omary Mbura Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya ATCL na Mkurugenzi wa Shirika la Ndege la ATCL Mhandisi Ladslaus Matindi wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi rasmi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kukizindua katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora (THBUB) Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu akizzungumza na waandishi wa habari Na: Hughes Dugilo.Tume ya Haki za Binaadamu na utawala Bora (THBUB) imempongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...