LATEST ARTICLES

Mwezeshaji na Mtaalam Kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania, aliyeongoza kuandaa miswada mitatu ya uchaguzi na vyama vya siasa, 2023 katika mlengo wa Kijinsia. Dkt. Victoria Lihiru, akitoa mada juu ya uchambuzi na mapendekezo ya miswada hiyo kwa Wahariri wa...
Mwakilishi Mkazi wa UN Women Tanzania Hodan Addou (kushoto) akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano wa wanawake kutoka katika nchi mbalimbali Barani Afrika kujadili changamoto zinazowakabili wanawake na vijana katika Biashara na kupokea maoni ya wadau hao namna ya kufanyiakzi changamoto....
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akipunga mkono kuwaaga mamia ya wananchi, walioongozwa na viongozi wa chama na Serikali Mkoa wa Ruvuma, waliofika Uwanja wa Ndege wa Songea, kumuaga kiongozi huyo baada ya...
Mwakilishi wa shirika la Ecopeace Women Initiative, Anastazia Magembe katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Barrick katika hafla ya kupokea msaada wa dola za Kimarekani 10,000 ambao taasisi hiyo imepatiwa na Taasisi ya kimataifa ya Nos...
            
Shilingi Bilioni 109.8 zatumika mwaka 2023/2024* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe, Judith Kapinga amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) itaendelea kuongeza bajeti kila mwaka ya matengenezo ya miundombinu ya umeme hadi changamoto ya kukatika umeme kutokana na...
DodomaNa: Mean Wetu-DODOMA MADEREVA bodaboda katika Jiji la Dodoma wameeleza jinsi mafunzo ya elimu ya usalama barabarani yalivyo wafumbua macho na kuwafanya kufahamu sheria mbalimbali za barabarani na hivyo kuendelea na kazi yao wakiwa salama. Wamesema hayo mbele ya waandishi wa...
  In celebration of International Women's Day, CFAO Mobility Tanzania and Stanbic Biashara Incubator collaboratively hosted an impactful event aimed at empowering female entrepreneurs and business owners. The event hosted at Stanbic Biashara Incubator offices in Dar es Salaam witnessed...