Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imetakiwa kuimarisha matumizi ya teknolojia, na kuhakikisha kwa kiasi kikubwa inafanya shughuli zake kidigitali ili kwenda sambamba na kasi ya ukuaji wa teknolojia hapa nchini na Duniani kote kwa ujumla wake Maagizo hayo...
Jina langu ni Nasra kutokea Tanga nchini Tanzania, miaka kadhaa nyuma iliyopita nilijikuta kwenye sehemu ya mauzauza, nilikuwa naota ndoto mbaya, nilikuwa katika  mazingira ya shule, kwa kuwa mazingira yale yalijaa mauzauza sikuweza kushangaa sana. Ilikuwa haipiti wiki mimi sijaugua,...
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini huku akisisitiza kuwa hayo ndio maono ya Rais...
Na: Mwandishi Wetu, Tanga. Novemba 22, 2024, Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ummy Mwalimu ameingiza katika siku ya pili kuwanadi wagombea wa nafasi za uenyeviti wa mitaa katika mitaa minne ya Jimbo la Tanga...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kuwa mitaala inayoandaliwa ihakikishe inazingatia mabadiliko ya kiuchumi na maendeleo ya kiteknolojia. Amesema hayo leo (Ijumaa, Novemba 22, 2024) alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la tano la Maendeleo ya Biashara...
Ruvuma. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (MNEC), Salim Abri Assas, ameweka wazi mikakati ya chama hicho kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024, akibainisha kuwa vituo vyote 87,000 vya kupigia kura nchi nzima vitakuwa na sanduku la kura, hata katika...