Kada wa Chama cha mapinduzi CCM, Alex Mwita Msama ambaye pia ni Mkurugenzi wa Dira TV Tanzania amewaomba watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kuwachagua viongozi mbalimbali wa Serikali za mitaa siku ya kesho tarehe 27 Novemba 2024...
*Asema CCM ni tumaini la Watanzania; Ipate kura za Ndiyo
*Akumbusha kuwa miradi ya maendeleo iliyopo ni kielelezo cha viongozi makini wa CCM
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga...
http://DKT. TULIA AWATAKA WANANCHI KUCHAGUA VIONGOZI WENYE UWEZO
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Dkt....
*Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM*
* Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu*
* Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo*
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri...
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inawapongeza wanariadha wetu Kpt. Magdalena Shauri na Sgt. Alphonce Simbu kwa kushinda mbio za Mashindano ya Majeshi Abuja nchini Nigeria.
Wanariadha wote wawili wameshinda Mbio za full Marathon za Kilomita 42.19, ambapo Alphonce...