Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesisitiza kuwa Serikali haitavumilia vitendo vyovyote vya unyanyasaji dhidi ya watu wenye ulemavu, akiahidi kuchukua hatua kali kwa wale watakaobainika kuhusika. Dkt. Biteko alitoa kauli hiyo leo Jijini Dar...
Polisi kata ya Ikoma Tarafa ya Grumet Wilayani Serengeti Mkoani mara CPL Emmanuel Mwikwabe amekabidhi kiti mwendo kwa mtoto Vaileth Enock(16) mwenye ulemavu wa kuzaliwa ambao umepelekea kupooza. CPL Emanuel Mwikwabe alimbaini Mtoto huyo kupitia kampeni ya utoaji wa Elimu...
  Kampuni ya Dhahabu ya Barrick (NYSE:GOLD)(TSX:ABX) imepokea kwa furaha uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Ontario wa kutupilia mbali madai yaliyotolewa na wakazi wa Tanzania waliokuwa wakilalamikia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na askari wa Jeshi la Polisi...
DAR-Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu ameibuka na kile ambacho ni kiashiria cha anguko la chama hicho. Lissu ambaye siku za karibuni amekuwa akiibua mambo mazito ndani ya CHADEMA ikiwemo tuhuma za rushwa kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha, leo tarehe 27 Novemba, 2024.   Viongozi wa dini, wadau wa...