Home LOCAL DKT. SAMIA AWASILI MKOANI ARUSHA KUANZA ZIARA YA KIKAZI

DKT. SAMIA AWASILI MKOANI ARUSHA KUANZA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha, leo tarehe 27 Novemba, 2024.  

Viongozi wa dini, wadau wa utalii pamoja na wageni kutoka maeneo mbalimbali wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27 Novemba, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa dini, wadau wa utalii pamoja na wageni mbalimbali waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 27 Novemba, 2024.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na watoto wakati wa mapokezi yake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 27 Novemba, 2024.

http://DKT. SAMIA AWASILI MKOANIARUSHA KUANZA ZIARA YA KIKAZI

 

Previous articleSIMBA FC YAANZA KWA KISHINDO MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Next articleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 28,NOVEMBA 2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here