Mbunge Neema Lugangira (kushoto) akipiga makofi mara baada ya kufanyika uzinduzi rasmi wa wiki ya Azaki uliofanyika Jijini dar es Salaa, (wa kwanza kulia) ni Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo Msajili wa Asasi za Kiraia nchini, Vickness Mayao (katikati...
Mhadhiri Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Dk Innocent Babili akizungumza alipohojiwa na waandishi wa habari kwenye Maonesho ya 16 ya Elimu ya Juu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) Viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam. Mhadhili...
Washiriki katika Mkutano wa Wadau, Maudhui ya Utangazaji Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabiri K. Bakari akizungumza NA Washiriki katika Mkutano wa Wadau, Maudhui ya Utangazaji-Jijini Dodoma.   DODOMA.SERIKALI imehimiza watoa huduma za Mawasiliano Nchini, kuzingatia Sheria na Kanuni zilizomo kwenye...
Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mabel Masasi akiwapa maelezo viongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru ulipowasili katika Shule ya Msingi Ipangala 'B' iliyopo jijini Dodoma wakati wa mbio za Mwenge Maalum 2020/21...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga, akisisitiza jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya BoT leo jijini Dodoma, ambapo BoT imetangaza hatua za kisera zitakazoongeza upatikanaji wa mikopo kwa...