Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema siku ya Jumatatu imefanikiwa kuzuia "njama kubwa" iliyokuwa ikipangwa kwa lengo la "kuleta machafuko makubwa", ikisema kwamba inaamini wapangaji wa njama hiyo wako katika nchi jirani ya Ivory Coast. Tangu Septemba 2022, Burkina...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga - Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa salamu za Sikukuu ya Pasaka katika Tamasha la Mtoko wa Pasaka lililoandaliwa na Wasanii wa Muziki wa Injili nchini. Hafla hiyo iliyofanyika Jumapili tarehe 20 Aprili 2025...
                        
Katika historia ya Tanzania, Kariakoo imesimama kama eneo lenye umuhimu mkubwa wa kijamii na kiuchumi. Ni mahali ambapo biashara zinakutana na maisha, na ndoto nyingi zimeanzishwa. Lakini kwa muda mrefu, changamoto za miundombinu, majengo chakavu na msongamano wa watu...
Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo. Siku hii njema ikawe pia ya tafakari kwetu sote juu ya upendo wetu kwa Muumba wetu na wenzetu; juu ya...