MAJALIWA: TUTAENDELEZA MAHUSIANO NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU LA MOROCCO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea jezi ya timu ya taifa ya Morocco kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Faouzi Lakjaa...
MBUNGE BONAH KUZINDUA DIWANI CUP KIPAWA
Picha Na: Maktaba.NA: HERI SHAABAN.MBUNGE wa Jimbo la Segerea BONAH LADISLAU KAMOLI anatarajia kuzindua mashindano ya Diwani Cup Kata ya kipawa Julai 17/2021Mashindano hayo...
MHE. RAIS SAMIA ASHUHUDIA MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga unaoendelea...
SIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA YANGA, YAPIGWA 1-0 DIMBA LA MKAPA...
DAR ES SALAAM. Simba imeshindwa kutangazwa bingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara baada ya kukubali kichapo cha bao 1_0 dhidi ya Yanga Mechi...
YANGA YATANGAZA BARAZA JIPYA LA UDHAMINI.
DAR ES SALAAM.Uongozi wa Yanga umeunda upya Baraza jipya la Wadhamini likiwa na sura mpya tatu kati ya watano.Akitangaza uamuzi huo Mwenyekiti wa Yanga,...
TANESCO YACHANGIA MILIONI 20 MATIBABU YA WATOTO WENYE KIBIONGO MOI
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Tulia Ackson akipokea mfano wa Hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 20...