NIPE FAGIO YASISITIZA UMUHIMU WA MAZINGIRA SAFI NA SALAMA KWA WATOTO.
Mratibu Sera kutoka Taasisi isiyo ya kiserikali Nipe Fagio, Bi Veronica Hollela (Kulia) akizungumza kuitambulisha Taasisi wakati sherehe za kuadhimisha Siku ya Mtoto wa...
WATUMISHI 2555 KATI YA 2625 WAPANDISHWA VYEO NA MADARAJA JIJINI ...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe akiangalia horodha ya watumishi waliopandishwa madaraja na vyeo kwenye idara mbalimbali za Halmashauri ya Jijini...
KILO 88 ZA DAWA ZA KULEVYA ZATELEKEZWA NDANI YA PRADO.
DAR ES SALAAM.Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imefanikiwa kukamata kilo 88.27 za dawa za kulevya aina...
MADIWANI NAMTUMBO WAONYWA JUU YA MIGOGORO
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma Juma Pandu akifungua kikao cha Baraza la madiwani wa Halmashauri hiyo kilichoketi kujadili...
BARABARA YA KIBAONI HADI MLOWO KUTENGENEZWA KWA KIWANGO CHA LAMI, WAZIRI...
DODOMA.Serikali imeahidi kuijenga barabara ya kutoka Kibaoni hadi Mlowa yenye jumla ya Kilomita 363 ambayo inaunganisha mikoa ya Rukwa, Katavi na Songwe mara baada...
“MAKATIBU WA AFYA KASIMAMIENI NYENZO ZA KAZI NA RASILIMALI: DKT. GWAJIMA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima akiongea na makatibu wa Afya nchini (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa...