ENTERTAINMENTS
MAONESHO YA PILI YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA KUFANYIKA...
Katinu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zuwena Omary akifungua kikao cha Maandalizi ya Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa...
PROF. KITILA MKUMBO MGENI RASMI TAMASHA LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR...
NA: MWANDISHI WETU.Waziri wa Viwanda na Biasha Kitila Mkumbo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maonyesho ya watoa huduma wa sherehe Adorable Wedding Trade Fair...
JUX KUKIWASHA KAHAMA NA VIUNGA VYAKE JULAI 30.
Picha ya Maktaba.Mbwana Imamu ambaye ndio muandaaji wa Tamasha hilo kupitia kampuni yake ya ARBAB MB ENTERTAINMENT(katikakati) akitoa ufafanuzi kwenye mkutano na waandishi wa...
MISS TANZANIA AIPONGEZA STAMICO.
DAR ES SALAAM.Miss Tanzania 2020 Bi. Rose Manfere leo ametembelea banda la STAMICO na kuipongeza kwa kazi nzuri inayofanya kwa kipindi chote cha maonesho...
MISS IFM KUCHUANA KESHO J.MOSI JULAI 10-2021
NA: MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM.WALIMBWENDE 20 wanatarajiwa kuchuana vikali Julay 10 katika jukwaa la kuwania taji la Miss IFM 2021, City Gadeni Dar...
MISS AFRIKA KUFANYIKA TANZANIA KWA MARA YA KWANZA MWEZI NOVEMBA,2021
Na; Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM.MASHINDANO ya Miss Afrika kwa mara ya kwanza yanatarajia kufanyika nchini Tanzania Novemba 26,mwaka huu ambapo yanatarajia kushirikisha nchi...