ENTERTAINMENTS
Home ENTERTAINMENTS
MME WANGU AKIENDA NJE HAWEZI, ILA KWANGU MAMBO NI MOTO
Naitwa Mama Sofia, nimeolewa ni na watoto wanne na mume wangu wa ndoa, Jamal, tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, tuliishi kwa upendo na amani...
UZINDUZI WA ALBAMU MBILI ZA MAMAJUSI ANGLIKANA MOSHI, ZAIDI YA MILIONI...
Na: Maiko Luoga MOSHI.Waimbaji wa nyimbo za Injili wametakiwa kutumia vipawa vyao walivyojaliwa na Mwenyezi Mungu kuwahubiria watu kuacha matendo mabaya na kuishi maisha...
CHILONGOLA AGRO FOREST IRINGA WAZALISHA MICHE BORA YA PARACHICHI ZAIDI YA...
Mlezi wa Kampuni ya Chilongola Agro Forest Mafinga Iringa, Mbunge wa Viti Maalamu Mkoa wa Iringa Mhe. Rita Kabati akifurahia jambo na Mkurugenzi wa...
VIJANA MOROGORO WAUNGANA KUTEMBELEA WANAOISHI MAZINGIRA MAGUM
NA: MWANDISHI WETU.VIJANA wazalendo wa mkoa wa Morogoro wakishirikiana kwa pamoja wameandaa siku maalim ya kutembelea moja ya kituo cha kulelea watoto wanaoishi mazingira...
MTIFUANO MKALI, USAHILI BONGO STAR SEARCH AFRIKA KUANZIA ARUSHA
USAHILI wa Wasanii wa Shindano la Bongo Star Search African kuanza kufanyika Mkoani Arusha Novemba 9 hadi 10 katika ukumbi wa SG Resourt Mianzini.
Akitaja...
MWANAMITINDO JASINTA MAKWEBE KUIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO YA FUTURE FACE 2023 NIGERIA
Na Mwandishi Wetu
MWANAMITINDO Jasinta David Makwabe(25) mwenye urefu wa 5’11 Ft ambaye amechaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano makubwa ya Future Face 2023 yanayotarajia kufanyika...