ENTERTAINMENTS
AIWAKILISHA VYEMA TANZANIA
Na: Mwandishi Wetu
AMEIWAKILISHA vema Tanzania!Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya mwanamitindo Jasinta David Makwabe(25) kufanikiwa kuingia katika washindi watano bora wa mashindano ya Future Face...
MWANAMITINDO JASINTA MAKWEBE KUIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO YA FUTURE FACE 2023 NIGERIA
Na Mwandishi Wetu
MWANAMITINDO Jasinta David Makwabe(25) mwenye urefu wa 5’11 Ft ambaye amechaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano makubwa ya Future Face 2023 yanayotarajia kufanyika...
DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO ZA MTV EMA
Msanii wa muziki Bongo Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda Tuzo za MTV EMA katika kipengele cha Best African Act.
Kwenye kipengele...
BEN POL KUJA NA ALBUM MPYA YA FLAMINGO HIVI KARIBUNI
Na: Neema Adriano
Msanii wa muziki wa Bongofleva na miondoko ya Rnb Bernard Paul 'Ben Pol' anatarajia kuzindua Albam yake ya tatu ambayo ameipa...
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFURAHIA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati kikundi cha ngoma za asili cha Shomoo kilipokuwa kikitoa burudani...
RAIS SAMIA AMKABIDHI CHETI MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU NCHINI CHINA JIN...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Muigizaji maarufu wa Filamu nchini China, Jin Dong cheti cha Ubalozi...