Home ENTERTAINMENTS MREMBO AKATAA OFA YA Ksh.150.000 KUTOA KWA MBUNGE ALIYEMPA MIMBA 

MREMBO AKATAA OFA YA Ksh.150.000 KUTOA KWA MBUNGE ALIYEMPA MIMBA 

 KENYA 

Mrembo Easter Atieno kutoka Busia alikuwa katika uhusiano wa siri kwa miaka miwili na mbunge mmoja kutoka Magharibi mwa Kenya, wawili hao walionekana kinachowakutanisha ni kazi tu ila ukweli ni kamba kulikuwa na zaidi ya hapo.

Easter alijua fika kuwa mbunge huyo alikuwa ameoa ila hakujali sana kuhusu hilo, walipendana sana, ndicho kitu pekee tunachoweza kusema.

Mrembo huyu alikuwa amehitimu tu Chuo Kikuu cha Maseno na kupata nafasi ya mafunzo katika ofisi ya Mbunge.

Alifanya kazi katika idara ya fedha na mbunge huyo alimlipa Ksh35,000 kila mwezi na hapo polepole penzi likamea, Mbunge huyo alijawa na hisia kumueleka Easter maana alikuwa ni mwanamke mrembo sana.

Punde tu Easter akawa msaidizi binafsi wa Mbunge huyo na walikuwa wakisafiri pamoja wakati wote kila sehemu ambayo Mbunge huyo alipokuwa na mikutano na wabunge wengine wa Mombasa, Naivasha au Nairobi.

“Hakuna mtu aliyeshuku kama kuna kitu kinaendelea kati yatu, Mbunge alikuwa mwangalifu. sana, alikuwa mzee katika kanisa la SDA na aikuwa ameolewa, kama watu wangegundua, ingeharibu sifa yake, hivyo nilielewa na kuheshimu hilo,” alisema Easter Mbunge huyo alishinda uchaguzi wa marudio mwaka 2022 na kumchukua Easter hadi Mombasa kusherehekea na pia kuhudhuria mkutano wa bunge.

Katika moja ya safari zao, walipanga chumba kimoja cha watu mashuhuri na kulala hapo, wakawa na usiku wa kipekee hapo, usiku ambao Easter aliamka akiwa na ujauzito wa Mbunge bila kujua. Baada ya muda aligundua hilo na alipomtaarifu muhusika mkuu, alimwambia atoe mimba hiyo.

“Nilishauriana marafiki zangu; wengine walikubali, wengine wakasema ni ujinga kutoa mimba ya mtoto wa tajiri, jambo ambalo nilikubaliana nalo.

Hivyo sikutoa mimba licha ya Mbunge huyo tayari alikuwa amenipa ofa ya Ksh150,000 ili nikatoe mimba hiyo katika zahanati moja Nairobi, hakutaka mtu yeyote ajue kilichotokea,” alisema Easter.

Hata hivyo, Easter hakutaka kuharibu kazi ya Mbunge au kuchafua jina lake, alijua akifanya hivyo atateseka maana ndiye amemuajiri katika ofisi yake.

Rafiki mmoja wa Easter alimwambia kuwa jambo hilo linaweza kukaa sawa tu bila ugomvi wowote iwapo atachukua uamuzi wa kupata dawa za mitishamba kutoka kwa Kiwanga Doctors ambao wamesaidia watu wengi sana.

Easter aliwasiliana na wataalamu hao na wakampa hirizi maalum inayoitwa “Nguvu ya Kuamuru” na kuhakikishiwa ushindi mkubwa siku za mbeleni katika maisha yake ya kimahusiano na kikazi.

“Tumia hii binti yangu katika hali yako, usiharibu maisha yako ya baadaye, usiue mtoto asiye na hatia maan hii ndio nafasi yako ya kung’aa,” Kiwanga Doctors alimueleza.

Wakati Mbunge alikuwa nchini Nigeria kwa ajili ya ziara ya kikazi, Easter alimtumia ujumbe usemao,

“Nitaitunza hii mimba na wewe utawajibika kama baba kwa mtoto huyu.Huyu ni mtoto wetu, na sitaingilia ndoa yako”

Mbunge huyo aliporudi, alimjulia hali Easter wake na kwa mshangao mara moja alikuwa amekubaliana uamuzi wake, hakuwa na nguvu za kukataa au kubisha mbele ya dawa za Kiwanga Doctors.

Previous articleWAHADHIRI NELSON MANDELA WATUNIKIWA VYETI KWA KUCHAPISHA TAFITI ZA KIMATAIFA
Next articleMAKAMPUNI 130 AFRIKA YAPEWA TUZO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here