Home ENTERTAINMENTS RAIS SAMIA AMKABIDHI TUZO MSANII WA HIP HOP JOSEPH MBILINYI “SUGU”

RAIS SAMIA AMKABIDHI TUZO MSANII WA HIP HOP JOSEPH MBILINYI “SUGU”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpa Tuzo Msanii wa Muziki wa Hiphop nchini Bw. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ya kuthamini mchango wake katika Sanaa na kuzalisha ajira kabla ya kuzindua kitabu cha msanii huyo chenye jina la Muziki na Maisha from the Street katika Tamasha la Dream Concert lililofanyika Serena Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na msanii wa Muziki wa Hiphop Bw. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ mara baada ya kuwasili Serena kwa ajili ya kuhudhuria tamasha la maadhimisho ya miaka 30 ya msanii huyo.

Previous articleSERIKALI IMEZINDUA MWONGOZO KWA WAPELELEZI NA WAENDESHA MASHITAKA WA KESI ZA RUSHWA
Next articleTANESCO SHINYANGA YAHAMASISHA WANANCHI KUTUMIA MFUMO WA KIDIGITALI KUPATA HUDUMA ZA UMEME…YAANIKA FAIDA ZA ‘NIKONEKT’
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here