DKT. NCHEMBA: SERIKALI IMESIKIA KILIO CHA WANANCHI KUHUSU TOZO ZA MIAMALA...
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza na Vyombo vya Habari kuhusu masuala mbalimbali ya tozo za miamala...
TANZANIA KUIMARISHA UHUSIANO NA INDIA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA VIWANDA.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akiwa katika Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya India na nchi za Afrika (...
RC MAKALLA AWATAKA WAKURUGENZI KUWAWEZESHA MAAFISA USHIRIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO.
DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam kuhakikisha wanaanza...
MAONESHO YA PILI YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA KUFANYIKA...
Katinu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zuwena Omary akifungua kikao cha Maandalizi ya Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa...
SABABU ZA STAMICO KUWA KINARA MAONESHO YA SABASABA 2021
Na: Hughes Dugilo, DAR ES SALAAM. Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa yaliyoanza Juni 28 mwaka huu na kufunguliwa rasmi na...
KAMISHNA KIDATA ASEMA TRA IMEBADILIKA HIVI SASA WANAFANYAFA KAZI KWA...
Kamishna Generali wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata akiongea na wadau wa kodi mkoa wa Arusha katika mkutano wao uliofanyika mkoani humo.Mkuu...