Home BUSINESS MENEJIMENTI MPYA UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU) YAKABIDHIWA OFISI NA KUANZA KAZI...

MENEJIMENTI MPYA UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU) YAKABIDHIWA OFISI NA KUANZA KAZI JIJINI ARUSHA TANZANIA.


Katibu Mkuu Mtendaji wa Umoja wa Posta Afrika, (PAPU) anayemaliza muda wake Ndugu Younouss Djibrine ( kushoto) akikabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mtendaji Mpya Ndugu Sifundo Chief Moyo kwenye Ofisi za PAPU Jijini Arusha, leo Tarehe 1 Septemba 2021. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Dkt. Faustine Ndugulile (wa tatu kutoka kulia), Waziri wa TEHAMA na Huduma za Posta Zimbabwe na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania( TCRA) Dkt. Emmanuel Manasseh (wa kwanza kushoto). PICHA NA: TCRA