TIC YATEMBRLEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIOO MKURANGA
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetembelea mradi unaosimamiwa na Sapphire Float Glass (Tanzania) Company Limited uliopo Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 02 Septemba, 2022.
Kaimu...
VETA MOSHI YATAMBULISHA ‘ECCENTRIC PRESS MASHINE’ KUSAIDIA VIJANA
DAR ES SALAAM
Katika kuhakikisha kuwa Vijana wanaomaliza mafunzo ya Sfundi Stadi wanajikwamua na changamoto ya ukosefu wa ajira, Chuo cha VETA Moshi kimetengeneza Mashine...
SOKO LA ASALI LAZINDULIWA TABORA
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Burian akiongea na wakazi Kijiji cha Lumbe kata ya Ukumbisiganga Wilayani Kaliua Mkoani Tabora katika hafla...
VETA KUPANUA MAFUNZO YA UFUNDI SIMU NCHINI
Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya Ufundi Stadi VET Bw. Sitta Peter akizungumza kuhusu namna watakavyopanua mafunzo ya ufundi simu katika vvyuo vingine katika Maonesho...
MAHAFALI YA 39 CHUO CHA VETA SHINYANGA YAFANA
Wahitimu wa mafunzo ya Hatua ya Pili (Level II) katika fani mbalimbali wakiingia ukumbini kwa kucheza wakati wa Mahafali ya 39 ya Chuo cha Elimu...
WINE YA MCHAICHAI, TANGAWIZI NA MDALASINI YAVUTIA WENGI BANDA LA VETA...
Na: Hughes Dugilo, Dar es Salaam. Ni ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa mwalimu wa Ujasiriamali katika Chuo cha VETA- Karagwe mkoani Kagera...