BUSINESS
Home BUSINESS
SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kufanya maboresho zaidi ya mazingira...
JAFO AIPONGEZA ITRUST FINANCE KUDHAMINI SOKO LA JIBA SOUK
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amewataka wadau na wafanyabiashara nchini kujitokeza na kuiga mfano wa kampuni ya huduma za...
SERIKALI: FAIDA ITOKANAYO NA UWEKEZAJI IFIKIE ZAIDI YA ASILIMIA 10
Pwani.
Serikali inataka faida itokanayo na uwekezaji ‘return on investment’ katika kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache iongezeke kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia...
TPA YANG’ARA UTENDAJI BORA
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa...
MAAGIZO MATANO YATOLEWA KUONGEZA UFANISI KAMPUNI AMBAZO SERIKALI INA HISA CHACHE
Kibaha Pwani,
Serikali imetoa maagizo matano kwa wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache, ikiwa ni sehemu ya jitihada ya kuboresha...
TGDC YATOA ELIMU KWA WANAVIJIJI WANAOZUNGUKA JOTOARDHI
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) imetoa elimu na uhamasishaji kwa wananchi wa vijiji vya Nsongwi Juu, Nsenga na Mbeye I, ili...