Home SPORTS WAZIRI MKUU MGENI RASMI TULIA MARATHON

WAZIRI MKUU MGENI RASMI TULIA MARATHON

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 10, 2024 amewasili uwanja wa ndege wa Songwe ambapo kesho Mei 11, 2024 atakuwa mgeni rasmi katika mbio za Mbeya Tulia Marathon 2024.

Akiwa mkoani Mbeya, Waziri Mkuu atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

Pichani, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera, Viongozi wa vyama vya siasa na Serikali, viongozi wa dini na mila.

Previous articlePPAA YAJIPANGA KUWANOA WAZABUNI, TAASISI NUNUZI JUU YA MFUMO MPYA WA KUWASILISHA RUFAA KIELETRONIKI
Next articleMARUFUKU KUUZA VITABU VYA KLINIKI – WAZIRI UMMY
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here