Home LOCAL KAMATI KUU CHADEMA  YAFANYA USAILI WA WAGOMBEA WA UONGOZI 

KAMATI KUU CHADEMA  YAFANYA USAILI WA WAGOMBEA WA UONGOZI 

Mwenyekiti CHADEMA Bw. Freeman Mbowe akizungumza katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea Mei 12, 2024 ikiwa ni siku ya pili.
Kamati Kuu ya Chama hicho inafanya usaili wa watia nia katika nafasi mbalimbali za uongozi Kanda za Nyasa, Victoria, Serengeti na Magharibi ambapo wajumbe mbalimbali wamehudhuria 

       

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here