Home LOCAL ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI KYELA

ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI KYELA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwasalimia wananchi wa Tukuyu akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mbeya, Mei 12, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi  wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mbeya iliyopo katika kijiji cha Busale wilayani Kyela, Mei 12, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akiwasalimia wananchi baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana, Mbeya katika kijiji cha Busare wilayani Kyela, Mei 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)     

 Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mbeya iliyopo katika kijiji cha Busare wilayani Kyela. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Mei 12, 2028. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Muonekano wa Jengo la Mama na Mtoto katika hospitali ya wilaya ya Kyela ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Mei 12, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Previous articleBALOZI NCHIMBI ASHIRIKI MISA, SHEREHE KUWEKWA WAKFU ASKOFU MSAIDIZI KIBOZI
Next articleKAMATI KUU CHADEMA  YAFANYA USAILI WA WAGOMBEA WA UONGOZI 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here