Home LOCAL KAMATI KUU CHADEMA  YAFANYA USAILI WA WAGOMBEA WA UONGOZI 

KAMATI KUU CHADEMA  YAFANYA USAILI WA WAGOMBEA WA UONGOZI 

Mwenyekiti CHADEMA Bw. Freeman Mbowe akizungumza katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea Mei 12, 2024 ikiwa ni siku ya pili.
Kamati Kuu ya Chama hicho inafanya usaili wa watia nia katika nafasi mbalimbali za uongozi Kanda za Nyasa, Victoria, Serengeti na Magharibi ambapo wajumbe mbalimbali wamehudhuria 

       

Previous articleZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI KYELA
Next articleWIZARA YA FEDHA YAWASHAURI WASTAAFU KUJIHEPUSHA NA MATAPELI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here