Home LOCAL MCHENGERWA AAHIDI USHIRIKIANO KWA WIZARA YA ARDHI

MCHENGERWA AAHIDI USHIRIKIANO KWA WIZARA YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kuhakikisha wanawahudumia wananchi kwa uadilifu na upendo kwani hayo ndio maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kumaliza shida za watanzania katika ardhi zinaisha.
 
Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Iftar iliyoandaliwa na Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Dar es salaam amesema kupitia wizara yake atahakikisha anashirikiana na Wizara ya ardhi ili kumaliza kero za ardhi.
Iftar hiyo imeandaliwa kwa lengo lengo la kuwakutanisha pamoja watumishi wa Sekta ya Ardhi, Wananchi wa Jijini Dar es salaam pamoja viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali katika viwanja vya ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Da es salaam Dar es Salaam.
Previous articleSOMA MAGAZETI YA LEO APRILI 6-2024
Next articleDK. NCHIMBI AWEKA MSIMAMO DIPLOMASIA YA UCHUMI NA SIASA KUNUFAISHA TANZANIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here