Home LOCAL WAZIRI MKUU AKIWA KIJIJINI KWAKE NANDAGALA RUANGWA

WAZIRI MKUU AKIWA KIJIJINI KWAKE NANDAGALA RUANGWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia nguo katika moja ya duka lililopo kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Kulia ni Mfanyabiashara Jamaldin Ahmad. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika kijiwe cha bodaboda kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika kijiwe cha kahawa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Previous articleMTANZANIA SIMON MNKONDYA APELEKA KILIMO CHA VANILLA KENYA
Next articleMIAKA 3 YA Dkt. SAMIA, OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAKUZA MAPATO YA TAASISI INAZOSIMAMIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here