Home LOCAL WAZIRI MKUU AKIWA KIJIJINI KWAKE NANDAGALA RUANGWA

WAZIRI MKUU AKIWA KIJIJINI KWAKE NANDAGALA RUANGWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia nguo katika moja ya duka lililopo kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Kulia ni Mfanyabiashara Jamaldin Ahmad. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika kijiwe cha bodaboda kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika kijiwe cha kahawa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here