Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AHUDHURIA MAZISHI YA HAYATI RAIS DKT. HAGE GEINGOB WA...

RAIS DKT. SAMIA AHUDHURIA MAZISHI YA HAYATI RAIS DKT. HAGE GEINGOB WA NAMIBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tatu wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob Jijini Windhoek tarehe 24 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye shughuli za mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob katika uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek tarehe 24 Februari, 2024. Hayati Rais Geingob alifariki dunia tarehe 04 Februari na anatarajiwa kuzikwa tarehe 25 Februari, 2024 katika Makaburi ya Mashujaa ya Heroes’ Acre Jijini Windhoek Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob tarehe 24 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob tarehe 24 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob tarehe 24 Februari, 2024.

Previous articleNDUGU WAKASUVI ATAKUMBUKWA DAIMA-MAJALIWA
Next articleMTAMBO MMOJA JNHPP WA MEGAWATI 235 KUWASHWA LEO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here