Home LOCAL MTAMBO MMOJA JNHPP WA MEGAWATI 235 KUWASHWA LEO

MTAMBO MMOJA JNHPP WA MEGAWATI 235 KUWASHWA LEO

 

Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko mapema leo anatarajia kushuhudia uwashaji wa mtambo mmoja kati ya mitambo 9 ya kuzalisha umeme katika mradi wa bwana la uzalishaji wa umeme Julius Nyerere Rufiji.

Mtambo huo una uwezo wa Kuzalisha Megawat 235 za umeme.

Megawati hizo 235 zinatarajia kuingizwa katika grid ya Taifa na kuongeza uimarishaji wa upatikanaji wa umeme nchini

Previous articleRAIS DKT. SAMIA AHUDHURIA MAZISHI YA HAYATI RAIS DKT. HAGE GEINGOB WA NAMIBIA
Next articleRAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUARIA VIFO VYA WATU 25 KATIKA AJALI YA GARI ARUSHA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here