Home LOCAL MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU BUNGENI

MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.  Mwigulu  Nchemba, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here