Home LOCAL RAIS SAMIA AANDALIWA DHIFA YA KITAIFA JIJINI OSLO NORWAY

RAIS SAMIA AANDALIWA DHIFA YA KITAIFA JIJINI OSLO NORWAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kasri la Kifalme pamoja na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway Kwa ajili ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway kwenye Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

 Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

 Mfalme Harald V wa Norway akizungumza kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoiandaa kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Malkia Sonja wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway kwenye Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Previous articleRAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA JUKWAA LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA NORWAY JIJINI OSLO
Next articleMATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU BUNGENI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here