Home LOCAL KIJIJI CHA FURAHA WAKUMBUKWA NA DAWASA

KIJIJI CHA FURAHA WAKUMBUKWA NA DAWASA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi mahitaji ya kibinadamu kwa kituo cha kulea watoto yatima cha KIJIJI CHA FURAHA kilichopo eneo la Mbweni Mwisho, Kata ya Mbweni Wilaya ya Kinondoni.

Mahitaji hayo yaliyotolewa ni sehemu ya jitihada za Mamlaka katika kutambua na kujali uwepo na umuhimu wa makundi haya maalum kwenye jamii.

DAWASA imekuwa ikichangia jamii zenye uhitaji kwa kutambua umuhimu wa huduma yake katika maisha ya binadamu.

Previous articleMATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU BUNGENI
Next articleWAREMBO WA BINTI AFRIKA WAANZA KUTIFUANA VIKALI KUELEKEA UZINDUZI MWEZI UJAO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here