Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA KENYA UHURU KENYATTA

RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA KENYA UHURU KENYATTA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.

Previous articleKAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MGODI WA BARRICK NORTH MARA
Next articleDKT.TULIA ATETA NA MKUU WA MKOA WA MBEYA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here