Home LOCAL M/RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA KUBORESHA HUDUMA YA MAJI TANGA...

M/RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA KUBORESHA HUDUMA YA MAJI TANGA KUPITIA HATI FUNGANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande mkoani Tanga. Tarehe 22 Februari 2024. 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Watumishi wa Mamlaka ya Maji Tanga pamoja na wananchi wa Kijiji cha Pande mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande mkoani Tanga. Tarehe 22 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Kijiji cha Pande kwaajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani. Tarehe 22 Februari 2024.

Previous articleDKT.TULIA ATETA NA MKUU WA MKOA WA MBEYA
Next articleCCM ZANZIBAR KUENDELEZA USHIRIKIANO NA FRELIMO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here