Home LOCAL RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE TOKA KWA WAZIRI WA ETHIOPIA

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE TOKA KWA WAZIRI WA ETHIOPIA

Rais Samia Suluhu Hassan apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed  na kukutana na Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kupokea Ujumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.

Previous articleWALIPAKODI WA KATI WAUNDIWA IDARA YAO TRA
Next articleSERIKALI INATARAJIA KUANZA TATHMINI YA UJENZI WA UKUTA KATIKA FUKWE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here