Home SPORTS YANGA SC YAICHAPA EL MERRIKH CAFCL 2-0 UGENINI

YANGA SC YAICHAPA EL MERRIKH CAFCL 2-0 UGENINI

MABINGWA wa Soka wa Tanzania,Yanga SC imeanza vyema mechi ya raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baada ya kuifumua mabao 2-0 El Merrikh katika mchezo uliopigwa uwanja wa  wa Kigali Pele nchini Rwanda.

Mabao ya Yanga SC  yamefungwa kipindi cha pili yakifungwa na washambuliaji wake Kennedy Musonda dakika ya 60 na Clement Mzize dakika ya 78.

Kwa ushindi huo Yanga SC wamejiweka nafasi nzuri ya kutinga Makundi Ligi ya Mabingwa Msimu wa 2023/24 huku wakiitaji sare yoyote au ushindi mchezo wa marudiano utakaopigwa Tanzania 

Previous articleRAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI NEWALA MKOANI MTWARA
Next articleSIMBA SC, YAANZA NA SARE UGENINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here