Home SPORTS SIMBA SC, YAANZA NA SARE UGENINI

SIMBA SC, YAANZA NA SARE UGENINI

MABINGWA Ngao ya Jamii Tanzania Timu ya Simba SC imeshindwa kutamba ugenini katika mechi ya raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baada ya kulazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya wenyeji Power Dynamos mchezo uliopigwa uwanja wa  Levy Mwanawasa nchini Zambia.
Mabao ya Simba yamefungwa na kiungo fundi Claotos Chama kwa matokeo hayo Simba SC imejiweka nafsi nzuri ya kutinga hatua ya Makundi mchezo wa marudiano utakaopigwa Tanzania Simba inahitaji sare au ushindi wowote.
Previous articleYANGA SC YAICHAPA EL MERRIKH CAFCL 2-0 UGENINI
Next articleDKT. MWINYI AHUTUBIA MKUTANO WA NCHI ZA KUNDI LA G77+CHINA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here